ESTER BULAYA ARUHUSIWA KUTOKA MUHIMBILI
Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Amos Bulaya (CHADEMA) ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akitibiwa tangu wiki iliyopita baada ya afya yake kuimarika.
Bulaya alikamatwa na polisi Ijumaa, Agosti 18, wiki iliyopita akiwa katika Hotel ya Kifa Best Point Wilayani Tarime akidaiwa kutaka kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.
Post a Comment