WACHEZAJI CHELSEA WAJIFUA GYM SINGAPORE KWA MAANDALIZI YA LIGI

 Timu ya Chelsea imekuwa ikijifua mno kwa maandalizi ya msimu ujao nchini Singapore huku kocha Antonio Conte akiwapeleka wachezaji hao kujifua gym. Conte ameonya kuwa wapinzania wa Chelsea watakuwa wanawakamia ili waweze kuwavua taji la ubingwa wa Uingereza.
                                        Mchezaji mpya wa Chelsea Alvaro Morata akifanya mazoezi 
                  Mshambuliaji raia wa Ubelgiji Michy Batshuayi akijifua kwa kuvuta kamba
                                          Mbrazili Willian akijifua kuimarisha misuli ya miguu
                                  David Luiz akionyesha uwezo wake wa mazoezi wakati akijifua gym

No comments

Powered by Blogger.