MAREHEMU JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR

                                        Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya enzi za uhai wake.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Prof. Ibrahim Juma (wa kwanza kulia) akiwa pamoja na Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa wakiwa wamejipanga tayari kwa kuupokea Mwili wa Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, tayari kwa mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam leo
 Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, likishushwa kaburini wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam leo
 Askari Polisi wakitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam leo.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Prof. Ibrahim Juma akiwa na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakishiriki mazishi ya Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam leo

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi (kushoto mstari wa mbele) akishiriki mazishi ya Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewahi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam leo

No comments

Powered by Blogger.