RAIS WA TFF, JAMAL MALINZI NDIYO BASI TENA, HATAWEZA KUGOMEA URAIS
Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Jamal Malinzi hataweza
kutetea nafasi yake ya urais kwa kuwa kesi iliyomfikisha mahakamani leo
itasikilizwa tena Jumatatu Julai 13 na Malinzi atakaa rumande hadi siku
hiyo.
Usaili wa viongozi wanaogombea uongozi TFF unafanyika kuanzia leo hadi keshokutwa wakati huo Malinzi atakuwa mahabusu.
Malinzi amefikishwa leo mahakamani akiwa na katibu wake, Mwesigwa Celestine.
Baadhi ya mashitaka hayo ni kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa imeridhia kubadilishwa kwa Signatories (watu wanaosaini nyaraka za benki kutoa fedha). Shitaka hilo linawahusu Malinzi na Mwesigwa.
Malinzi amedaiwa kugushi risiti za kwamba anaidai TFF na ziko risiti 20 ambazo anatuhumiwa kuzifoji.
Shitaka jingine ni utakatishaji na hii wote watatu, Malinzi, Mwesigwa na Nsian wanatuhumiwa kutakatisha kiasi cha dola 375,418.

Post a Comment