EXCLUSIVE: MKUDE AONGEZA MKATABA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA KUITUMIKIA SIMBA
Nahodha wa Simba, Jonas Mkude ameongeza mkataba na klabu yake hiyo.
Mkude amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Simba.
Kiungo huyo mkabaji alikuwa kati ya wachezaji wanaowania na watani wao wa jadi Yanga.
“Ameongeza
mkataba wa miaka miwili, ilikuwa ni baada ya kukamilisha majadiliano
ambayo yalikuwa yamefikia zaidi ya asilimia 99,” kilieleza chanzo.
Post a Comment