Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Prof. Muhongo… Barua Ipo Hapa

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ambapo uteuzi wa kujaza nafasi yake utafanyika baadaye.

No comments

Powered by Blogger.