Maajabu Jijini Mwanza: Mti Wagoma Kung'olewa......Ilikuwa Kila Ukikatwa Unalia Kwa Sauti Kupinga Kung'olewa
Wakazi
wa Barabara ya Iloganzala Jijini Mwanza jana walipigwa butwaa baada ya
mti kutoa sauti kama binadamu ukipinga using'olewe.
Tukio hilo limetafsiriwa kuwa la kishirikina ama mazingaombwe ikizingatiwa kwamba si jambo lenye uhalisia mti kuongea kama binadamu.
Shughuli
ya kuung'oa mti huo aina ya mwembe leo imeendelea ikiwa ni siku ya
pili ya kukabiliana na mwembe huo na hatimaye wamefanikiwa kuung'oa huku
mamia ya wananchi wakishuhudia tukio hilo la ajabu
Tukio hilo limetafsiriwa kuwa la kishirikina ama mazingaombwe ikizingatiwa kwamba si jambo lenye uhalisia mti kuongea kama binadamu.
Katika eneo la Iloganzala Jijini Mwanza kuna upanuzi wa barabara inayoelekea Uwanja wa ndege wa Mwanza.
Post a Comment