NAIBU SPIKA DR. TULIA ACKSON ASHIRIKI IBADA YA SHUKURANI NA WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB KWENYE KANISA LA KKKT MSASANI
Mchungaji
Melgad Metili wa Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani Dayosisi ya
Mashariki na Pwani akiwaombea Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
CRDB Dr. Charles Kimei , Mkewe Rose Kimei pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wa benki hiyo na waumini wengine kwenye ibada ya shukurani
kwa jinsi mungu aliyvowatendea katika kila jambo maishani mwao, Ibada
hiyo imefanyika jana jumapili kwenye kanisa hilo lililopo Msasani jijini
Dar es salaam.
Naibu Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr. Charles Kimei , Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa kushoto na Mama Rose Kimei wakiimba moja wa nyimbo katika ibada hiyo wakati ilipokuwa ikiendelea.
Naibu Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr. Charles Kimei , Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa kushoto na Mama Rose Kimei pamoja na waumini wengine wakiwa katika maombi.
Baadhi ya wafanyakazi wa CRDB na waumini wengine wakiwa katika ibada hiyo.

Meneja
Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu kushoto pamoja na watendaji
wengine wa benki hiyo wakishiriki katika ibada hiyo iliyofanyika jana
kwenye kanisa la KKKT Msasani.
Mchungaji
Melgard Metili wa Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani Dayosisi ya
Mashariki akitoa mahubiri yake katika ibada hiyo iliyofanyika kwenye
kanisa la KKKT Usharrika wa Msasani jijini Dar es salaam jana.Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu kushoto pamoja na watendaji wengine wa benki hiyo wakiwa katika maombi wakati wa ibada hiyo iliyofanyika jana kwenye kanisa la KKKT Msasani. |
Post a Comment