Maneno ya Profesa J baada ya kwenda gereza la Ukonga alipofungwa Mbunge Lijualikali
Leo
February 19 2017 Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu Profesa J
amekwenda kumtembelea gerezani Ukonga Dar es salaam na baada ya kutoka
hapo akaandika yafuatayo.
‘Nimetoka
gereza la Ukonga kumwona Mh. Lijualikali na Patron wa mkoa wa Morogoro
kamanda Zinga na wapiga kura wangu watatu kutoka kata ya TINDIGA
walifungwa miaka 30, wana afya njema na wanawasalimia sana ila
wanalalamika tu hali sio nzuri kabisa kule ndani.. Mungu AWASAIDIE
Post a Comment