Ishu ya ‘Unga’: Wema Alivyoripoti Kituo Kikuu cha Polisi Dar (Pichaz)

 MSANII wa Bongo Movie, Wema Sepetu ni miongoni mwa wasanii 9 waliotajwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, paul Makonda wakituhumiwa kujihusisha na mtandao wa biashara haramu ya madawa ya kulevya na kutakiwa kuripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar.
 Wema pamoja na wasanii wengine kama TID, Babuu wa Kitaa na Nyandu Tozi wameripoti kituoni hapo mapema leo wakiitikia wito wa RC Makonda.
Wema aliingia kituoni hapo kimya kimya hivyo kufanya wanahabari wasimgundue, baada ya kumaliza mahojiano na polisi na kutoka nje ndipo kamera zikamnasa akiongozana na askari polisi mwanamke aliyeonekana akimpa kampani wakati wa kutoka.
                                             Wema akiongozana na askari aliyevaa kiraia.
Wema akitoka kwenye kituo kikuu cha polisi.
Wema akiondoka.

          Wanahabari wakiwasubili wasanii wakati wa kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi Dar.

No comments

Powered by Blogger.