Ishu ya Madawa: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi

 WASANII wa Bongo wameitikia wito wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kufika katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam mapema leo asubuhi.

 RC Makonda jana aliwataja wasanii 9 wanaotuhumiwa kujihusisha na mtandao wa madawa ya kulevya pamoja na baadhi ya askari polisi huku akiwataka wafike kwenye Kituo Kikuu cha Polisi leo asubuhi.
                                       Babuu wa Kitaa akiwasili Kituo Kikuu cha Polisi

                                                         T.I.D naye akiwasili kituoni hapo.

                                     Hamidu Chambuso aka ‘Nyandu Toz’ akiwasili kituoni.
                                               Wanahabari wakichukua matukio kituoni hapo.

No comments

Powered by Blogger.