WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI RUVUMA KWAZIARA YA KIKAZI
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkuu wa mkoa wa ruvuma Mhandisi
Binilis Mahenge mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ruvuma kwa
ziara ya kikazi kulia ni mke wa mkuu wa mkoa wa ruvuma Mama Mahenge
Waziri
mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Songea Mh
Salima Chikoyo ambaye alikuwepo katika uwanja wa ndege wa Ruvuma katika
mapokezi ya Waziri Mkuu, Kushoto ni Naibu waziri wa maliasili na utali
Mhandisi Ramo Makani na kushoto ni katibu tawala wa mkoa wa Ruvuma
Hassani Bndeheko. Waziri mkuu amewasili mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi. Picha na Chris Mfinanga
Post a Comment