Picha: Jinsi Kadjanito alivyofunga ndoa
Oktoba 29, Kadjanito alifunga ndoa na mchumba wake, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, kwenye kanisa la Ufunuo wa Bendera.Baadaye palikuwa na sherehe iliyofanyika katika jengo la Tanzanite
Tower. Kadja amelazimika kubadili dini na kuwa Mkristo ili kumfuata mume
wake. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na baadhi ya wasanii wakiwemo Linah na
Mwasiti na ndugu wa karibu.
Hizi ni picha za harusi hiyo.
Post a Comment