Muigizaji wa Marekani, Sylvester Stallone maarufu kwa jina la Rambo
amemtembelea bondia Manny Pacquiao kwenye kambi yake ya Wild Card gym ya
Hollywood. Pacquiao yupo nchini Marekani kwa ajili ya pambano lake na bondia Jessie
Vargas la WBO uzito wa welterweight ambalo lifanyika Novemba 5 ya mwaka
huu mjini Las Vegas.
Post a Comment