DIEGO MARADONA AWA KIVUTIA KATIKA MCHEZO WA HISANI ROMA
Mchezo huo wa kuungana kwa amani,
ulioandaliwa na Papa Francis umefanyika kwenye dimba la Stadio
Olimpico, umuhimu wake umejionyesha kutokana na idadi kubwa ya
wachezaji wa zamani waliojitokeza.
Nyota wa zamani wa Argentina
Maradona alikuwa kivutio pamoja na raia wa Italia Toti huku pia
mchezaji wa zamani wa Brazil Ronaldinho akionekana kuwa kivutia
katika mchezo ambao Wachezaji 11 bora wa zamani wa A La Liga XI
waliibuka na ushindi wa magoli 4-3 dhidi ya 11 bora wa dunia.
Diego Maradona akishangilia goli la Francesco Totti Diego Maradona akikumbatiana na Ronadinho
Diego Maradona akidhibitiwa na Juan Sebastian Veron
Post a Comment