CHELSEA YAMKARIBISHA MOURINHO STAMFORD BRIDGE KWA KUMUAIBISHA
Chelsea ambao walimtimua Mourinho
mwaka jana, waliongoza kwa kupata goli ndani ya sekunde 30, baada ya
Pedro kutumia udhaifu wa beki na kutumbukiza mpira kimiani.
Gary Cahill aiongeza la pili baada
mpira wa kona ya Eden kugonga mwamba na kurudi katika eneo la goli,
na kisha baadaye Hazard akafunga la tatu na N'Golo Kante kufunga la
nne.
Pedro akishangilia baada ya kufunga goli la kwanzaGary Cahill akipiga mpira uliomshinda kipa David de Gea na kuandika goli la pili
Post a Comment