ZLATAN IBRAHIMOVIC AIPA USHINDI WA KWANZA MANCHESTER UNITED LIGI YA UROPA
Zlatan Ibrahimovic alifunga goli
pekee katika mchezo huo akiunganisha kwa kichwa shuti lililopigwa
ovyo la Wayne Rooney.
Katika mchezo huo uliopigwa katika
dimba la Old Trafford, Manchester United, waliutawala hata hivyo
Zorya walionyesha kuwa tishio kidogo.
Zlatan Ibrahimovic akipiga kichwa mpira uliozaa goli Mpira wa kichwa uliopigwa na Zlatan Ibrahimovic ukitinga golini
Shuti lililopigwa na Marcus Rashford likigonga mwamba na kushindwa kuingia langoni.
Post a Comment