Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Awasili Dodoma Kwa Ajili Ya Bunge
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan
Lugimbana baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Septemba
4, 2016 kwa ajili ya vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Septemba 6,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana Septemba 4, 2016 na Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya vikao vya Bunge vinavyotarajiwa
kuanza Septemba 6, 2016.
Post a Comment