Staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz ameachia nyimbo ambayo amemshirikisha msanii mwenzake ambaye yupo katika lebo yake ya WCB Wasafi, Rayvanny ambayo ameipa jina la Salome. Video ameshoot, Nicorux kutoka Afrika Kusini Aprili, 10 mwaka huu, itizame hapa.
Post a Comment