Imamu, Msaaidizi Wake Wauawa Marekani
Waombolezaji wakiwa na simanzi baada ya mauaji hayo.
Msemaji wa polisi amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kusema, “Hakuna ushahidi wowote unaoonesha mauaji hayo yametokana na mambo ya imani za dini, na mpaka sasa hakuna mtuhumiwa yeyote aliyekamatwa na polisi bado wanaendelea na uchunguzi.”
Wananchi wenye asili ya Bangladesh wakiwa na majonzi baada ya vifo hivyo.
Imamu huyo akiwa na msaidizi wake waliuawa wakati wakitoka kwenye
msikiti wa al-Furqan Jame baada ya sala ya jana Jumamosi kwenye majira
ya saba na nusu mchana (kwa saa za Marekani).
Eneo walipouawa imamu na msaidizi wake.
Imamu huyo mwenye asili ya Bangladesh alikuwa akihudumu msikitini
hapo ambako wengi wa waumini wake ni wale wenye asili ya Bangladesh.
Post a Comment