Mwanamitindo wa Tanzania ambaye anafanya kazi za mitindo nchini
Marekani, Flaviana Matata amezindua bidhaa za urembo za kucha
zinazojulikana kwa jina la LAVY, amezindua bidhaa hiyo mbele ya
waandishi wa habari na kuomba wanawake na watumiaji rangi za kucha
wamuunge mkono kwani ni bidhaa ambayo ipo kwenye soko kwa kipindi hiki
kwani kila mwanamke anapenda kupendeza. Kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa
Shear Illution Ltd, Shekha Nasser akiwa ni mmoja wa wasambazaji wa
kipodozi cha Kucha ambazo zimezinduliwa leo. Wakati huhuo amewapongeza wote waliochangia katika kufanikisha yey kujulikana kimataifa. |
Post a Comment