DIAMOND: PENNY NDIYE ALIYENIFUNDISHA KIINGEREZA

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akiongea na Global TV Online mchana 
wa leo amefunguka kuwa Penny ndiye aliyemfundisha lugha ya Kiingereza
wakati wa mahusiano yao.

No comments

Powered by Blogger.