Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa kwanza (kushoto)
akiwa na Rais Mstaafu wa Zambia Mhe. Rupia Banda, Rais wa Kenya Mhe.
Uhuru Kenyatta, Rais wa Msumbiji Mhe. Ermando Guebuza na Kaimu Rais wa
Zambia Dkt. Guy Scott kwenye Misa Maalum ya kuaga mwili wa Rais Michael
Sata iliyofanyika Novemba 11,2014 kwenye Uwanja wa Taifa mjini Lusaka
Zambia. |
Post a Comment