|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimfariji Rais
mstaafu wa kwanza Zambia Dkt. Keneth Kaunda mara baada ya kumalizika
maziko ya Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Sata kwenye Viwanja
vya Ubalozini katika Makaburi ya Viongozi wa Kitaifa yaliyofanyika
Novemba 11,2014 mjini Lusaka Zambia. |
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimfariji Rais
mstaafu wa Zambia Mhe. Ruphia Banda baada ya kumalizika mazishi ya Rais
wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Sata kwenye Viwanja vya Ubalozini
katika Makaburi ya Viongozi wa Kitaifa yaliyofanyika Novemba 11,2014.
katikati Rais mstaafu wa kwanza wa Zambia Dkt. Keneth Kaunda. |
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisaini kitabu
cha maombolezo ya Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Sata kwenye
Viwanja vya Ubalozini katika Makaburi ya Viongozi wa Kitaifa
yaliyofanyika Novemba 11,2014.
(Picha na OMR)
Post a Comment