Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka,
akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania
(TRL), Mhandisi Aman Kipalo Kisamfu, kabla ya kupokea mabehewa 50 ya
kubebea makasha katika bandari ya Dar es Salaam, leo asubuhi. Kulia kwa
Mhandisi Kipalo Kisamfu ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi
wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Alois Matei. |
Post a Comment