Kivuko cha Msangamkuu( MV
Mafanikio) chenye uwezo wa kubeba uzito wa tani 50 pamoja na abiria 100
kikiwasili Mkoani Mtwara tayari kwa kuanza kazi rasmi ya kutoa huduma
kati ya upande wa Mtwara Mjini na Msangamkuu.
Kivuko kipya cha (MV
Mafanikio) kama kinavyoonekana mara baada ya Serikali kutekeleza ahadi
yake ya kuwaletea wananchi wa Mtwara Kivuko hicho…
Post a Comment