TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAGONJWA WASIOFAHAMIKA WANAKOTOKA WALIOLAZWA MUHIMBILI

 Tunapenda kuwataarifu kuwa tulipokea wagonjwa wasiofahamika wanakotoka (unknown patients). Wagonjwa hawa wapata matibabu na afya zao zinaendelea kuimarika lakini hawajaweza kutoa taharifa sahii kuhusu wanakotoka na pia taarifa za ndugu zao.
Hivyo ndugu, jamaa na marafiki wanaowafahamu wagonjwa hawa wenye picha zifuatazo wafike Hospitali ya Taifa Muhimbili, kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma, Ofisi namba C5 ILIYOPO JENGO LA UTAWALA ILI KUWATAMBUA

No comments

Powered by Blogger.