WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO.
Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo akizungumza wakati wa kumpongeza Mshindi wa tatu wa Mbio za Dunia za London Marathon mwaka huu, Felix Simbu pamoja na wenzake watatu ambao walienda katika mashindano ya Dunia za London Marathon nchini Uingereza.
Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akizungumza wakati wa Jeshi la kujenga taifa limewapongeza washindi hao walipowasili hapa nchini tangu walipotoka kwenye mashindano ya Riadha ya Dunia yaliyofanyika nchini Uingereza. Amesema kuwa "Ushindi huu si wangu peke yangu bali ni wa wetu sote kutokana tulikuwa na umoja."Huu ni ushindi wa wote, hivyo umoja wetu utazidi kujitahidi kufanya vizuri zaidi hapo baadae,".
Katibu Baraza la Michezo Tanzania(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza wakati wa kuwapongeza washiriki wa mashindano ya Riadha ya Dunia ambapo Tanzania ilikuwa na wanariadha wanne na Mshindi wa tatu wa Mbio hizo za Dunia za London Marathon kutoka Tanzania ni Alfonce Simbu.
Mwakilishi wa Multchoice, akizungumza katika hafla fupi iliyoandali na Jeshi la Kujenga Taifa akiwapongeza washiriki wa Mashindano hapo ikiwa mshindi watatu wa mashindano ya riadha ya dunia aliibuka kidedea Alfonce Simbu.
Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akiwa na amesimama wakati wa kutambulishwa mbele ya waalikwa waliohudhuria hafla ya kuwapongeza mara baada ya kurejea hapa nchini.
Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akipokea tuzo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo leo wakati wa kuwapongeza washiriki wa mashindano hayo.

Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuwapongeza kushiriki mashindano ya Rianda ya Dunia.
Post a Comment