WABUNGE WALIOVULIWA UANACHAMA CUF WAWASILISHA PINGAMIZI KORTINI

Wabunge wanane wa Chama cha Wananchi (CUF) waliovuliwa uanachama na Mwenyekiti wa Chama hico anayetambulika na Msajili wa Vyama, Prof. Ibrahim Lipumba, wameiomba Mahakama Kuu ya Tanzania kuweka zuio la wabunge wapya kuapishwa hadi kesi ya msingi waliyofungua itakapoamuliwa.
Aidha wabunge hao wameiomba mahakama kuzuia utekelezaji wa Uamuzi wa Baraza Kuu la CUF kuwavua uanachama.

No comments

Powered by Blogger.