TAIFA STARS NJE MICHUANO YA CHAN, YASHINDWA KUIFUNGA RWANDA

Taifa Stars imetolewa nje katika michuano ya kuwania kucheza Chan.
Stars imetolewa baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya Rwanda katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Amahoro jijini Kigali.
Kwa kuwa Stars na Rwanda zilitoka sare ya bao 1-1, mjini Kirumba hivyo Rwanda inasonga mbele.

No comments

Powered by Blogger.