Nape Akabidhi Rasmi Ofisi kwa Waziri Mwakyembe

 ALIYEKUWA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Moses Nnauye leo amemkabidhi rasmi ofisi waziri mpya wa wizara hiyo, Dkt. Harrison George Mwakyembe.
 Dkt. Mwakyembe aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, aliteuliwa Alhamisi iliyopita na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkr. John Pombe Magufuli kuchukua nafasi ya Nape Nnauye wakati nafasi ya Mwakyembe ikichukuliwa na Prof. Palamagamba Kabudi.
  Mhe. Nape Moses Nnauye leo akimkabidhi rasmi ofisi waziri mpya wa wizara hiyo, Dkt. Harrison George Mwakyembe.
                                                  Picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu.

No comments

Powered by Blogger.