MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA TUME YA FARU JOHN
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkemia Mkuu wa Serikali , Profesa
Samwel Manyele wakati alipowasilisha taarifa ya tume ya uchunguzi wa
suala Faru John baada ya kukabidhi taarifa hiyo , Ofisini kwa Waziri
Mkuu jijini Dar es salaam Machi27, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa taarifa ya tume ya kuchunguza suala la Faru John na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele, Ofisini kwake jijini Dar es salam Machi 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele taarifa ya Tume aliyoiunda ya kuchunguza suala la Faru John, ofisini kwake jijjini Dar es salaam Machi 27, 2017. (Picha na Ofisi ya `Waziri Mkuu)

Post a Comment