Idd Azzan awasili kituo cha Polisi kuitikia wito wa RC Makonda
DAR ES SALAAM: Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kinondoni,
Idd Azzan ameripoti hivi punde katika Kituo Kikuu cha Polisi kuhojiwa
kuhusu tuhuma za kuhusika na mtandao wa dawa za kulevya.
Viongozi wengine waliotakiwa kufika polisi kuhojiwa ni Askofu
Josephat Gwajima na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, ambao waliripoti
jana kisha wakaondolewa na kupelekwa kusikojulikana.
Endelea kuwa nasi, tutaendelea kukujuza kila linalojili sentro na kwingineko.
Post a Comment