ADELE AGUSWA NA BEYONCE KUBANIWA TUZO YA ALBAMU BORA

Mwanamuziki Adele ameonekana kukataa ushindi wake wa tuzo ya Grammy ya albamu bora, na kusema mwanamuziki Beyonce ndiye anayestahili kupata tuzo hiyo.
Msanii huyo wa muziki aliyetwaa tuzo tano za Grammy, aliwaambia watu waliofika katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo, kuwa hawezi kuikubali tuzo hiyo.

Ushindi wa Adele dhidi ya Beyonce ni dhahiri unachochea malalamiko kuwa tuzo za Grammy huwa zinawabania wasanii weusi.

          Beyonce akiwa na mumewe Jay-Z wakimsikiliza Adele kwa hisia kali
  Beyonce akitiririkwa na machozi kutokana kuguswa na maneno aliyotoa Adele

  Mwanamuziki Adele akiwa amepozi na tuzo zake tano za Grammy alizozitwaa

No comments

Powered by Blogger.