Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mwanae Benjamin Sitta. Mungu aiweke Roho ya marehem mahali pema peponi Amina
Post a Comment