SAFARI YA KUTOKA TABORA, DODOMA HADI DAR KWA NDEGE YA ATCL
Viongozi
wa serikali, Vyama vya siasa na wabunge wakisafiri kutoka Dodoma kwenda
Dar es salaam kwa ndege mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ya
Bombardier, Novemba 13, 2016. Wote walikwenda Urambo Tabora kumzika
Spika Mstafu Samuel Sitta Novemba 12, 2016. Kutoka kulia ni Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa na Mkewe Mary, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Post a Comment