RAIS DKT MAGUFULI AFANYA MAHOJIANO NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza
Mtangazaji Tido Mhando wakati akiuliza maswali kutoka kwa wahariri wa
vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt. Ayoub
Rioba wakati wa kupokea maswali kutoka kwa wahariri wa vyombo
mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika
ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza
mwanahabari Sammy Awami wa BBC wakati akiuliza maswali
kutoka kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
kutoka kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza
Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonazi wakati
akiuliza maswali kutoka kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana
nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa
Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akijibu maswali
kutoka kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano
leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar
es salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza
Msanii Mrisho Mpoto akiimbwa wimbo wa "SIZONJE" wakati alipokutana na
wahariri kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akijibu
maswali kutoka kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa
mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU
Post a Comment