Rais Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi
baada ya kukagua akikagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika
operesheni maalum ya ya kusaka majangili alipofanya ziara ya kushtukiza
makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar
es salaam leo Oktoba 29, 2016.
Post a Comment