MAKUNDI MAWILI YA TUZO YA BALLON D'OR YAMETANGAZWA, BALE, RONALDO WAYAONGOZA
Wanatarajia
kutangazwa wachezaji 30 katika tuzo ya mwanasoka bora duniani ambayo
imerejeswa na itaendelea kusimamiwa na jarida la France Footbal.
Kabla
ya kwisha mwaka huu, mshindi atakuwa amepatikana na imekuwa ikiendelea
kutangazwa kwa makundi na baadaye utafanyika mchujo.
Makundi mawili ni kama ifuatavyo..
Kundi la kwanza la Ballon d’Or ni..
Sergio
Aguero (Manchester City), Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia
Dortmund), Gareth Bale (Real Madrid), Gianluigi Buffon
(Juventus), Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
Kundi la pili la Ballon d’Or ni..
Kevin De Bruyne (Manchester City)
Paulo Dybala (Juventus)
Diego Godin (Atlético Madrid)
Antoine Griezmann (Atlético Madrid)
Gonzalo Higuain (Napoli/Juventus)
Post a Comment