RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA ENEO LILILOKUWA NA NYUMBA ZA MAGOMENI KOTA, AONGEA NA WAAKAZI WAKE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul makonda, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Ali Hapi na viongozi wengine akitembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia alipotembelea na kuongea na wakaazi wa Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
 Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
 Kiongozi wa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bi Mwajuma Sama akiongea machache na kuomba dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimfariji Bi. Mwajuma Sama kwa taabu walizopata yeye kiongozi na wakaazi wenzie wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru wakili Twaha Taslima wa Law Chambers kwa kusimamia vyema maswala ya mgogoro wa eneo iliyokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016. PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.