Mzee Yusuph aamua kuachana na mziki na kumrudia Mungu wake

 Muda wa saa 7 kamili baada ya swala ya Ijumaa Muungwana Blog imepata taarifa kutoka Msikiti wa Bungoni uliopo Ilala Dar Kuwa Mzee yusuf ameamua Kumrudia mungu wake na Kutubu kwa yote aliyoyafanya.
Mzee Yusuph ameamua kuachana ma Muziki na kumrudia Mungu wake na amewataka watu wote wamsamehe ili apate msamaha kwa Mola wake.
Mzee Yusuph Ameapa kuto kujihusisha na Muziki na kutaka Nyimbo zake zisipigwe tena kwenye Media zote. Mzee Yusuph alionekana analia kwa uchungu na kujutia yale aliyokuwa akiyafanya enzi za Ujahili wake.
   (chanzo muungwana blog)

No comments

Powered by Blogger.