MAMA POGBA ANUNUA JEZI KIBAO ZA MWANAYE, NI ZAWADI KWA WATU MBALIMBALI

 MAMA MZAZI WA POGBA AMENUNUA RUNDO LA JEZI ZA MWANAYE MARA TU BAADA YA KUANZA KUINGIA MTAANI IKIWA NI SAA CHACHE BAADA YA KUJIUNGA NA MAN UNITED AKITOKEA JUVENTUS.

IMEELEZWA MAMA HUYO ANAJIANDAA KUTOA ZAWADI KWA WATU MBALIMBALI AMBAO NI WATU WAKE WA KARIBU. POGBA RAIA WA UFARANSA AMEJIUNGA NA MAN UNITED KWA KITITA CHA PAUNI MILIONI 100.



No comments

Powered by Blogger.