Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland
baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki
iliyopita. Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo
Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri. Kulia kwake ni
Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi.… |
Post a Comment