Orodha ya wagombea wa TFF waliyochujwa katika usahili.......Jamal Malinzi Kaondolewa
Baada ya kikao kumalizika na kufanya usahili wa wagombea wa nafasi zote na kuchuja, orodha ya wagombea waliyochujwa nafasi ya Urais ni pamoja na Rais wa sasa wa TFF Jamal Malinzi ambaye ameondolewa kwa sababu yuko Rumande
Post a Comment