MAYWEATHER JEURI, AMRUSHIA NOTI ZA DOLA MPINZANI WAKE
Mabondia hao walikuwa burudani tosha kwa mashabiki wao wakati walipokuwa wakipondana katika mazungumzo yao katika maeneo ya Los Angeles na Toronto pamoja na Brooklyn.
Katika kuonyesha jeuri Mayweather alimtupia noti za dola mpinzani wake McGregor huku akimuambia kiasi hicho cha fedha ndio thamani yake.
Floyd Mayweather na Conor McGregor wakizuiwa wasizichape kavukavu
Floyd Mayweather na Conor McGregor wakirushiana maneno
Post a Comment