BREAKING NEWS: SAIDIA NDUGU HAWA WAPO MUHIMBILI KWA HAWAJITAMBUI

#Saidia kuwajulisha ndugu zao, hawa wagonjwa wako Muhimbili kwa muda mrefu baada ya kupata ajali ya gari na hawawezi kujitambulisha vizuri ndugu zao wakawajua. Wako MOI wodini kwa miezi kadhaa sasa!
Tuwasaidie waweze kuwapata ndugu zao.
#MOI
#MUHIMBILI
#www.bintitz.blogspot.com

No comments

Powered by Blogger.