Wema Apandishwa Tena Kizimbani Kisutu leo

                   Akitoka mahakamani baada ya kuahirishwa kwa kesi yake. 
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na wenzake wawili, Matilda Abass na Angelina Msigwa ambao ni wafanyakazi wake wa ndani kwa kosa la matumizi na kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi lakini amekana mashitaka hayo yote.
Mahakama imeahirisha kesi yake hiyo na itasikilizwa tena Julai 14, mwaka huu.

No comments

Powered by Blogger.