Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ilipata
taarifa toka Ofisi ya mkoa wa Dar es salaam na vyombo vya habari kuhusu
malalamiko Bi Asma Juma kuibiwa mtioto wake Pacha alipojifungua katika
hospitali ya Temeke mnamo tarehe 19/3/2017.
Soma taarifa ya ufafanuzi huo:
Post a Comment