Rais Magufuli Amjulia Hali Mkewe Aliyelazwa Muhimbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali mke wake, Mama Janeth Magufuli, ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwapongeza kwa kazi nzuri baadhi ya madaktari na wauguzi
kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa
matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipungia wananchi alipokuwa akitoka Sewa Haji katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na
mkewe ambaye anapatiwa matibabu.leo Novemba 10, 2016.
Post a Comment