Miss Kinondoni Atwaa Taji la Miss Tanzania 2016
Miss Tanzania 2016 Diana Edward Lukumai akipunga mkono.
Warembo walioingia Top 5.
Warembo walioingia Top 5.
Diana Edward Lukumai katika pozi.
Miss Kinondoni 2016, Diana Edward Lukumai aimeibuka kidedea kwa
kutwaa taji la Miss Tanzania 2016. Shindano hilo kwa mara ya kwanza
limefanyika jijini Mwanza katika ukumbi wa Rock City Mall. Diana
ameibuka kidedea na kuwabwaga wenzake 30.
Post a Comment